Share

Watu watatu wa familia moja wauawa eneo la Ingidi, Vihiga

Share this:

Miili tya watu watatu wa familia moja imepatikana leo asubuhi katika eneo la Ingindi huko Vihiga, ikiwa na majeraha ya panga. Hata hivyo, Mtoto mmoja hyuko katika hali mahututi akiuguza majeraha kama hayo, huku hali ya usalama ikizidi kuwa kero katika kaunti hiyo.

Leave a Comment