Share

Watu wanne wapotea Bahari Indi

Share this:

Hatma ya Wavuvi wanne mjini Mombasa waliokuwa miongoni mwa wenzao sita haijulikani hadi sasa huku shughuli ya kuwatafuta ikiendelea. Kuna hofu kuwa huenda walikufa maji baada ya wenzao wawili kufanikiwa kuogelea baada ya boti kupinduka

Leave a Comment