Share

Watu 7 wathibitishwa kufariki baada ya jengo kuwaporomoka Kisii

Share this:

Watu watatu wamethibitishwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa katika kaunti ya Kisii baada ya jumba la ghorofa tano lililokuwa likijengwa kuporomoka asubuhi ya leo mtaa wa mwembe.

Maafisa wa polisi na kikosi cha waokoaji kutoka shirika la msalaba mwekundu walifika kwenye eneo hilo kuwasaidia walioathirika.

Leave a Comment