Share

Watu 7 wafariki kwenye ajali ya barabarani

Share this:

Watu saba wamepoteza maisha huku wengine saba wakijeruhiwa kwenye ajali mbili tofauti za barabarani katika barabara ya Kisumu – Kapsabet na kaunti ya Bungoma. Kwengineko, watu watatu wamefariki baada ya kuangukiwa na ukuta katika eneo la viwandani hapa Nairobi. Ben Kirui ana mengi kuhusu taarifa hizi

Leave a Comment