Share

Watu 60 wanauguza majeraha baada ya kupigwa na polisi Pate, Lamu

Share this:

Zaidi ya wakaazi 60 katika kaunti ya Lamu wanauguza majeraha baada ya kucharazwa na maafisa wa polisi kwenye oparesheni ya kutafuta bunduki lililoripotiwa kuchukuliwa kutoka kwa afisa wa polisi aliyeuawa mwishoni mwa juma. Wakaazi hao waliojeruhiwa ni kutoka vijiji vya Chundwa na Mnyabogi kisiwani Pate, Kama Kadzo Gunga anavyotuarifu

Leave a Comment