Share

Watu 35 waokolewa kutoka kwa jumba lililoporomoka Tassia

Share this:

Idadi ya watu waliopoteza maisha yao katika jengo lililoporomoka mtaani tassia jijini nairobi imefika saba. Hii ni baada ya watu wawili waliookolewa kutoka vifusi vya jengo hilo usiku wa kuamkia leo kufariki dunia wakipokea matibabu katika hospitali ya kitaifa ya Kenyatta. Shughuli ya uokoaji bado inaendelea huku ikihofiwa kuwa watu 22 bado wamenaswa.

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment