Share

Watu 2 wafariki Malava walipoangukiwa na ukuta

Share this:

Watu wawili wameripotiwa kufariki eneo la Malava katika kaunti ya Kakamega baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba. Wanaume hao wawili wenye umri wa miaka thelathini na tatu na ishirini na tano mtawalia walifariki papo hapo wakati wakijaribu kubomoa nyumba hiyo.

Leave a Comment