Share

Watu 10 wauwawa na majambazi Jaldesa, huko Marsabit

Share this:

Watu kumi miongoni mwao maafisa wa polisi wameuaawa kwenye shambulizi jipya eneo la Jaldesa, Kaunti ya Marsabit. Inasemekana shambulizi hilo lilijiri usiku wa kuamkia leo ambapo magaidi walishambiulia gari na kuwaua tatu watatu waliokuwemo, watu saba wakiuawa baadaye wenye mashambulizi ya kulipiza kisasi. Kwa sasa viongozi wa kaunti ya Marsabit wanazungumzia suala hilo.

Leave a Comment