Share

Wasiotambulika : Teresa June anatoa huduma za matibabu kwa wanakijiji Baringo

Share this:

Hebu fikiria ,unaishi eneo ambalo hakuna kituo cha afya chochote karibu kwa zaidi wa kilomita 100 mraba…na kituo hicho kilicho mbali ambacho kufika huko ni lazima utembee ufike, na mara kwa mara  kinakosa dawa na madaktari.
Hii ndiyo taswira kamili ya kijiji cha Chepungus, Tiaty, kaunti ya Baringo ambapo kupata huduma za afya, ni kama maisha ya ziada mama mmoja wa kimishonari hata hivyo, ameamua kufungua kituo cha afya chini ya miti msituni kuwapa matibabu ya bure wanakijiji.
Hiyo ni taarifa kumhusu Teresa June, kwenye makala, Wasiotambulika.

Leave a Comment