Share

Wasichana wa shule huko Busia wahamasishwa kuhusu afya ya uzazi

Share this:

Idara ya watoto katika kaunti ya Busia kwa ushirikkiano na mashirka yasiyo ya serikali imezindua kampeni za uhamasisho kuhusu afya ya uzazi kufuatia ongezeko la mimba za mapema miongoni mwa wasichana wanaobaleghe. Naibu mkurugenzi wa idara hiyo Patrick Mukolwe amesema idadi ya wasichana wanaojiingiza katika vitendo vya ngono wakiwa wangali wachanga inaongezeka kutokana na malezi mabaya na vipindi visivyofaa.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/

#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive

Leave a Comment