Share

Washukiwa wawili wazuiliwa Murang’a kwa mauaji ya mtoto

Share this:

Polisi katika kaunti ya Murang’a wanamzuiliwa mwanamume aliyekiri kumuua mtoto wa mpenziwe huku pamoja na mwanamke huyo wakitarajiwa kufikishwa mahakamani. Huyu hapa Kelvin na hii na taarifa nyingine kwenye mseto wa kaunti

Leave a Comment