Share

Washukiwa wanne wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji Busia

Share this:

Washukiwa wanne wamefikishwa mahakamani hii leo kwa madai ya kuhusika na mauaji ya mabawabu saba wa kibinafsi katika kaunti ya Busia. Hakimu Samson Tumu aliamuru wanne wao akiwemo mjane wa marehemu aliyekuwa akizikwa, Carolyne Atieno aliyetuhumiwa kuwakodi kuzuiliwa kwa siku 14 kuwezesha wapelelezi kukamilisha uchunguzi.

Leave a Comment