Share

Washukiwa wa wizi wa mtihani wakamatwa

Share this:

Washukiwa wawili wa wizi wa mtihani wanatarajiwa kufikishwa mahakamani hii leo. Waziri wa elimu Amina Mohammed ametangaza haya mapema leo akisewa hii ni hatua kubwa katika kuwakabili wanaohusika na wizi wa mitihani nchini. Kufikia sasa, watu 15 wametiwa mbaroni tangu kuanza kwa mtihani wa KCSE. #Semanacitizen #KCSE

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment