Share

Washukiwa 46 wa MRC wataka korti iwaachilie kwa ukosefu wa ushahidi

Share this:

Watu 46 waliokamatwa kwa kudaiwa kuwa wanachama wa MRC wameitaka mahakama kuwaachilia huru baada ya maafisa wa polisi kushindwa kutoa ushahidi. 46 hao walikamatwa Likoni tarehe 22 mwezi uliopita kwa kudaiwa kuhudhuria sherehe ya kula kiapo cha kuwa wanachama wa MRC. Kesi itatajwa tarehe kumi na tatu mwezi huu.

Leave a Comment