Share

Wapigambizi watafuta mwili wa mwanafunzi kwa siku 3 katika kaunti ya Trans nzoia

Share this:

Maafisa wa idara ya kukabiliana na majanga kaunti ya Trans Nzoia wanalaumiwa kwa utepetevu. Kauli hii imejiri baada ya mwanafunzi wa kidato cha nne kuzama kwenye bwawa la kibomet viungani mwa mji wa kitale mwili wake ukikosa kupatikana kwa siku ya tatu sasa

Leave a Comment