Share

Wanawake 5 Waliokeketwa wafungwa jela Meru

Share this:

wanawake watano kutoka kijiji cha kathwene huko Imenti ya kati kaunti ya Meru wamefungwa jela mika mitatu kila mmoja kwa sababu ya kukeketwa kwa hiari yao. Moses Waweru ameandaa taarifa hiyo na nyingine kutoka kaunti mbalimbali.

Leave a Comment