Share

Wanaume Nyamasare watoroka nyumbani wakipata pesa

Share this:

Ndoa nyingi zinakabiliwa na tishio la kusambaratika katika kijiji cha Nyamasare katika kata ndogo ya Kanyamkago, kaunti ya Migori, hii ni baada ya baadhi ya wakulima wa tumbaku na miwa kkutorokea kwenye vituo vya kibiashara punde tu wakipata pesa ya mazao yao.Wanaume hao wanadaiwa kurudi baada ya wiki tatu au mwezi moja wakiwa wameoa wanawake wengine.

Leave a Comment