Share

Wanasiasa watofautiana kuhusu mageuzi ya katiba

Share this:

Kinara wa ODM Raila Odinga kwa mara nyingine ametilia shaka uhakika wa sahihi zilizowasilishwa na kikosi cha thirdway alliance chini ya uongozi wa dkt. Ekuru Aukot, kupiga jeki shinikizo la kuifanyia katiba marekebisho. Odinga anawataka wakenya kutoutilia maanani mchakato wa ‘punguza mizigo’ na baadala yake wasubiri mapendekezo ya kamati ya mapatano, maarufu ‘bbi’. Semi zake hata hivyo zinagongana na zile za naibu wa Rais William Ruto

Leave a Comment