Share

Wanasheria walalamikia ukosefu wa vyumba vya mahakama, Eldoret

Share this:

Chama cha wanasheria ukanda wa North Rift kimetoa mwito kwa tume inayosimamia huduma za mahakama kuingilia kati ili kutatua ukosefu wa vyumba vya  mahakama ambavyo vimelazimu vikao vya mahkama kuendeshwa kwenye mahema.
Kando na mrundiko wa kesi, eneo hilo linakumbwa na ukosefu wa muundomsingi kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Timothy Simwa.

Leave a Comment