Share

Wanaotoa huduma gerezani walilia malipo

Share this:

Zaidi ya wanakandarasi 300 wanaotoa huduma mbali mbali katika gereza la shimo la tewa mjini Mombasa wameitaka serikali kupitia wizara ya usalama kuwalipa zaidi ya shilingi bilioni 1.3 wanazodai kwa miaka 10 sasa. Wamedai kuwa licha ya hakikisho kutoka Kwa waziri Matiang’i miezi miwili iliopita na agizo la Rais bado hawajapokea fedha zao.

Leave a Comment