Share

Wananchi walalamikia utepetevu hospitalini Kisii

Share this:

Wenyeji wa kaunti ya Kisii wameandamana kufuatia kifo cha mwanamke mmoja wa umri wa miaka 29 aliyefariki baada ya kuvuja damu kupita kiasi alipokuwa akijifungua katika hospitali ya Kisii level five. Wenyeji wanalalamika kuwa visa hivyo vimekithiri lakini hakuna hatua inayochukuliwa wahudumu wa afya wanaodaiwa kuwa watepetevu.

Leave a Comment