Share

Wanafunzi wateseka wakivuka mito Laikipia

Share this:

Wanafunzi wa eneo la Laikipia mashariki wangali wanakabiliwa na hatari ya kuzama mtoni kwa sababu ya ukosefu wa madaraja. Wao hutumia magogo huku wanafunzi wakishikana mikono kusudi wasisombwe na maji mengi ya mto.

Leave a Comment