Share

Wanafunzi wahimizwa kujiunga na vyuo vya kiufundi

Share this:

Mjadala wa mtaala mpya unapoendelea kushika kasi, Wadau katika vyuo vya mafunzo ya kiufundi yaani TVETs nchini sasa wanasema changamoto za kikazi zinazoshuhudiwa nchini zinachangiwa pakubwa na ukosefu wa ujuzi .

Leave a Comment