Share

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Njenga, Nairobi, wajengewa madarasa mapya

Share this:

Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Njenga hapa jijini Nairobi wamepata sababu ya kutabasamu baada ya kujengewa madarasa mapya kutoka katika hazina ya CDF katka eneo bunge hilo. Mbunge wa Embakasi Kusini, Julius Mawathe, kupitia hazina ya CDF, amejenga madarasa 12 ambayo sasa yatatoa nafasi inayohitajika kwa wanafunzi.

Watch more NTV Kenya videos at ntv.co.ke and nation.co.ke.
Follow @ntvkenya on Twitter.
Like our page on Facebook: NTV Kenya.
Follow and Double tap on Instagram: NTV Kenya
Join Our Telegram channel: www.telegram.me/NTVNewsRush

Leave a Comment