Share

Wanafunzi wa KCSE walifukuzwa shuleni kwa sababu za kinidhamu waishi hotelini Eldoret

Share this:

Huku mitihani ya kidato Cha nne ikiendelea wasichana watatu kutoka shule ya kitaifa ya wasichana ya Moi Eldoret, wamelazimika kufanya mtihani huku wakiishi kwa mkahawa mmoja mjini Eldoret hii ni baada ya kufukuzwa shuleni wiki moja tu kabla ya mtihani huo kuanza rasmi.

Leave a Comment