Share

Wanafunzi 8 wa shule ya upili ya Kisii wakamatwa

Share this:

Wanafunzi wanane katika shule ya upili ya Kisii wamekamatwa na huenda wakafikishwa mahakamani hapo kesho kwa tuhuma za kuteketeza bweni moja katika shule hiyo. Kisa cha kisii kinajiri huku shule zingine tatu zikichomwa ambapo baadhi ya wanafunzi wanadai kuwa mahitaji ya kimasomo na ukali wa walimu ni baadhi ya sababu zinazowachochea kuzua fujo shuleni.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment