Share

Wanafunzi 27 wa shule ya upili ya mtakatifu Maria wapata baiskeli

Share this:

Wanafunzi 27 wa shule ya upili ya mtakatifu Maria iliyoko katika eneo Bunge la Nambale kaunti ya Busia wamefaidika na ufadhili wa baisikeli ili kuwapunguzia mwendo mrefu kwenda shuleni na kuimarisha matokeo yao shuleni.

Leave a Comment