Share

Wana NASA wadai Jubilee imetelekeza ngome za upinzani

Share this:

Vigogo wa muungano wa upinzani NASA hii Jumapili wamekita kambi katika kaunti ya Nyamira ujumbe mkuu kwa wenyeji ukiwa kwamba wasikubali msukumo wa Jubilee ifikapo Agosti 8.
Wakiongozwa na kinarai wa NASA Raila Odinga, viongozi hao wamekashifu serikali ya Jubilee kwa kuwahadaa wakazi wa Nyamira kwa kujitwika miradi ambayo haikuanzishwa na Serikali yao.

Leave a Comment