Share

Wamiliki wa kampuni ya Keroche Tabitha Karanja na mumewe Joseph Karanja wanaswa

Share this:

Tabitha na mumewe wanaswa. Wawili hao walala ndani leo.

Wanashtakiwa kukwepa kulipa ushuru. Watafikishwa kortini kesho #CitizenNipashe

Leave a Comment