Share

Walinzi wawili wauawa Kakamega

Share this:

Wenyeji wa soko la Mirere katika eneo bunge la Matungu kaunti ya Kakamega, wameachwa vinywa wazi baada ya walinzi wawili kuuawa na majambazi usiku wa kuamkia leo.
Inasemekana wawili hao waliuawa walipokuwa wanazuia majambazi hao kutorosha ng’ombe waliokuwa wameibwa katika eneo hilo.

Leave a Comment