Share

Walimu wapanga foleni Garissa wakitaka kuhamishwa

Share this:

Ukosefu wa usalama katika eneo la Kapedo eneo bunge la Turkana mashariki,umesababisha kudorora kwa viwango vya elimu na miundo msingi duni shuleni kiasi cha wanafunzi kupata matokeo duni kwenye mitihani ya kitaifa.
Mara kwa mara wanafunzi wa eneo hilo wamekuwa wakipoteza maisha shuleni kupitia mtutu wa bunduki.

Leave a Comment