Share

Walimu wakuu na machifu wapewa saa 48 na wizara kuwasaka wanafunzi waliosalia nyumbani

Share this:

Walimu wakuu wa shule za msingi wamepewa makataa ya saa 48 kuwatafuta wanafunzi waliofanya mtihani wa KCPE mwaka ulipotika katika shule zao lakini hawajajiunga na shule za upili na kuwawasiilisha mbele ya machifu.
Hii ni baada ya wizara ya elimu kuanzisha rasmi mchakato wa kuwasaka wanafunzi ambao bado wako nyumbani licha ya mradi wa serikali wa kuwasajili wanafunzi asilimia moja katika shule za upili.

Leave a Comment