Share

Wakulima wa mahindi watalazimika kukubali bei iliyowekwa

Share this:

Wakulima watalazimika kukubali bei ya mahindi iliyoidhinishwa na baraza la mawaziri ya shilingi 2,300 kwa gunia la kilo tisini. Hayo ni kwa mujibu wa katibu msimamizi katika wizara ya kilimo andrew tuimur, aliyeiambia kamati ya bunge kuhusu kilimo kuwa wizara haina mamlaka ya kuongeza bei hiyo.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment