Share

Wakulima wa Kiambu wapata miche inayostahimili ukame

Share this:

Upanzi wa parachichi umeziduliwa katika maeneo yaneoyoshudia mvua ya chini  kaunti ya Kiambu ili kuwezesha kubadili maisha ya wenyenji wapate mavuno maridhawa badala ya kutegemea kilimo cha mahindi na maharagwe kama ada

Leave a Comment