Share

Wakulima Murang’a waanza ukulima wa matunda licha ya uhaba wa maji

Share this:

Wakulima wengi katika kijiji cha keni huko mathioya katika kaunti ya Murang’a sasa wameanza ukulima wa matunda tofauti licha ya kuwa eneo hili huwa na uhaba wa maji. Kilimo cha matunda kimedaiwa hakihitaji maji mengi na hivyo wakulima wamepata afueni na wanatarajia mapato baada ya kuvuna na kuuza mazao

Leave a Comment