Share

Wakulima 7 wanaswa Timau, Meru kwa balaa ya bei ya viazi

Share this:

Polisi wamewatia mbaroni wakulima saba kutoka kaunti ya Nyandarua wakiwa mjini Timau kaunti ya Meru baada ya kubeba viazi kinyume na kanuni za serikali ya Meru. Mwezi wa nne wawakilishi wadi wa kaunti ya Meru waliagiza wakulima wote wanaouza viazi kuhakikisha hawabebi magyunia ya viazi ya uzani wa zaidi ya kilo hamsini

Leave a Comment