Share

Wakongwe wasaidiwa katika kituo cha Mandika, Busia

Share this:

Jamii imetakiwa kuwakumbuka wakongwe wasiojiweza badala ya kuwatelekeza .Haya ni kwa mujibu wa mtawa Ann Karani wa Grace and Compansion Benedicto sisters aliyesema kwamba changamoto yao kuu ni ukosefu wa fedha za kutunza wakongwe kwani jamii zao haziwasaidii kwa vyovyote vile.

Leave a Comment