Share

Wakili wa Miguna ashtakiwa kwa kuendesha gari akiwa mlevi

Share this:

Wakili na mtetezi wa haki za kibinadamu Harun Ndubi alifikishwa mbele ya mahakama hii leo na kushtakiwa kwa makosa matatu ikiwa ni pamoja na kuendesha gari akiwa mlevi.
Ndubi alikamatwa jana usiku kwenye barabara ya Jakaya Kiwete akiwa ameegesha gari katikati ya barabara akiwa mlevi.

Leave a Comment