Share

Wakenya washerehekea Mashujaa Dei katika sehemu mbalimbali za nchi

Share this:

Maelfu ya wakenya katika sehemu tofauti nchini walijitokeza kwa maadhimisho ya sikukuu ya mashujaa katika Kaunti Tofauti ili kuwakumbuka na kuwatambua mashujaa waliopigania uhuru pamoja na wakenya wengine waliotoa mchango wa kipekee kwa taifa baada ya uhuru.

Leave a Comment