Share

Wakenya wakaidi wanaokongamana usiku walengwa

Share this:

Amri ya kutotoka nje kuanzia saa moja jioni hadi kumi na moja alfajiri iliyotangazwa na rais uhuru kenyatta kuanzia hapo kesho, kama moja wepo ya mikakati ya kukabili kuenea kwa ugonjwa wa korona nchini imepokelewa kwa mseto wa hisia na wakenya katika maeneo mbali mbali ya taifa hili, huku wataalamu wakishikilia mengi zaidi yanafaa kufanywa kuthibiti hali.

Leave a Comment