Share

Wakenya hupenda nyama choma

Share this:

Likizo hapa nchini Kenya huja na shamrashamra za aina yake na kwa Wakenya wengi chakula huwa ni njia ya kuunganisha familia. Tamaa ya nyama choma kwa Wakenya haswa hapa jijini Nairobi imesababisha kuongezeka kwa vilabu na hoteli ambapo nyama huchomewa. Kimani Mbugua alizuru maeneo hayo na kumhoji mtaalamu wa afya kuhusu madhara ya kula nyama nyingi.

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment