Share

Wakenya 2 wajeruhiwa na mali yao kuporwa Africa Kusini

Share this:

Angalau wakenya wawili wamethibitishwa kujeruhiwa na mali yao ya thamani isiyojulikana kuharibiwa katika mashambulizi ya chuki dhidi ya raia wa kigeni yanayoendelea nchini Afrika Kusini huku ulimwengu ukizidi kukashifu uhasama unaozidi kushuhudiwa nchini humo.
Aidha, waziri wa masuala ya kigeni balozi Monica Juma amesema kwamba ubalozi wa Kenya nchini Afrika Kusini unashirikiana na serikali ya taifa hilo ili kuhakikisha kwamba hakuna mkenya anayepoteza maisha yake.

Leave a Comment