Share

Wake wa mpakani

Share this:

Wameishi nchini Kenya kwa zaidi ya miongo minne lakini hadi wa leo hawana stakabadhi mwafaka kuonyesha uraia wao. Walisafiri kutoka nchini Tanzania na kuweka mizizi nchini Kenya lakini hawakupewa idhini ya kuishi kama wakenya wa kawaida. Mwanahabari Saida Swaleh aliyepata fursa kukutana na mamia ya kina mama hawa katika kaunti ya Taita Taveta na hofu yao kuu ni kuondoka ulimwenguni pasi na kutambulika kama raia wa Kenya

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Leave a Comment