Share

Wakazi wapanga kuandamana wakidai kuna ufisadi Mumias

Share this:

Vuguvugu la Bunge La Haki Usawa na Maendeleo limetishia kuandaa maandamano ya wakaazi na wakulima pamoja na kuwataja hadharani viongozi wa kisiasa wanaodaiwa kuhongwa na viongozi wa benki ya KCB ili kuiruhusu kuchukua usimamizi wa kiwanda cha sukari cha mumias kaunti ya Kakamega.

Leave a Comment