Share

Wakazi walalamikia uvundo wa takataka Voi

Share this:

Watu zaidi ya 500 kutoka vijiji vya Landi na Chakaleri wanahofia kuzuka kwa magonjwa yanayosababishwa na uchafu wa takataka katika jaa kubwa zaidi Taita Taveta iliyoko kando ya barabara kuu ya Voi kwenda Taveta.

Leave a Comment