Share

Wakazi wa Turkana wataka safari za ndege zisitishwe Lodwar

Share this:

Wakazi wa Turkana wanaitaka serikali kusitisha usafiri wa ndege katika uwanja wa ndege wa Lodwar ili kuzuia msambao wa virusi vya corona.

Leave a Comment