Share

Wakazi wa Mlolongo Kaunti ya Machakos wadai kuhangaishwa na wahuni

Share this:

Wakazi wa mtaa wa Kwa Mulinge phase four huko Mlolongo wamelalamikia kile wanachotaja kuwa ongezeko la uhalifu katika sehemu hiyo. Wakazi hao wanadai kwamba mashambulizi hayo yanayotekelezwa na wahuni wa kukodeshwa yananuiwa kuwafurusha kutoka kwenye ardhi ya kijamii ya ekari 400 inayozozaniwa.

Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/

#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive

Leave a Comment