Share

Wakazi wa mji wa Mtwapa wahofia mafuriko kufuatia kutomalizwa kwa mradi wa bomba la maji taka

Share this:

#Kenya #KTNNews #KTNPrime #COVID19 #CoronaVirus

Wakazi wa mji wa Mtwapa kaunti ya Kilifi wanaishi kwa hofu ya mafuriko kufwatia kutomalizwa kwa mradi wa bomba la maji taka lililowagharimu walipa ushuru shilingi milioni 270. 

Bomba hilo halijakamilishwa kwa zaidi ya miaka minane na baadhi ya wakazi wamepata majeraha kwa kutumbukia ndani.

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKE

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: https://play.google.com/store/apps/details?id=ke.co.group.standard.thestandardkenya

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Leave a Comment