Share

Wakazi wa ardhi ya sweetwaters Laikipia, wadai imenyakuliwa

Share this:

Wakaazi wa eneo la Sweetwaters Laikipia Mashariki wanaililia serikali kuu kupitia wizara ya ardhi kuhakikisha mabwenyenye hawanyakui shamba lao la ekari kumi na tano ambalo ni mali ya umma. Wakazi ha wanahofia kuondolewa sehemu hiyo baada ya watu wasiojulikana kufika hapo siku ya Jumamosi na kuweka kioleza eneo hilo

Leave a Comment