Share

Wakaazi wana wiki mbili bila nguvu za umeme, Wajir

Share this:

Mji wa Wajir umekuwa katika giza kwa muda wa siku kumi sasa. Ukosefu wa umeme umesababishwa na tatizo katika kituo cha kuzalisha umeme, ambacho wakazi wanasema kilichomeka siku kumi zilizopita.

Leave a Comment